Squippo

Across a vast area of One Thousand Five Hundred and Ten Squared Kilometers, at the beautiful Maasai Mara Reserve in Africa; adorned with the Big Five of the world, on the banks of the River Mara, existed the most unusual friendship the reserve had ever seen.

The amazing sunset, covers the acacia trees leaving a subtle hint of mirage in the yonder, covered with a light golden dust that looked like a velvet sponge to the human eye.
READ AN EXCERPT ORDER NOW!

 

 

Bata Wa Kuruka

Katika miaka nyepesi, katika mji unaoitwa Idan, ambako kila kitu huruka na maji ni rangi ya zambarau, watu wamejumuika na wanyama na wote wamekuwa viumbe vya vizazi vya ajabu.

Mnyama wa pekee asiyeweza kuruka ni Bata.

Inayo nguvu zaidi kuliko wafalme wote na malkia kwenye sayari. Inaweza kuwa nini?

READ AN EXCERPT ORDER NOW!

 

 

A FLYING DUCK

There is an old woman called Majustu-shi, who lives with the only Duck that can fly and this duck, produces, Diamond Eggs. The Duck is so precious that Majustu-shi, cannot share it with anyone and cannot give it to anyone. It has more power than all the kings and queens on the planet. What could it be?
READ AN EXCERPT ORDER NOW!

 

 

PaBoko

Katika eneo kubwa kabisa la Kilomita Mraba Elfu Moja na Mia Tano na Kumi, katika Maasai Mara Reserve ya Afrika; iliyobarikiwa na Watano Wakubwa (Big Five) wa dunia, kwenye ukingo wa Mto Mara, kulikuwa na urafiki wa ajabu zaidi ambao haijawai onekana.

Jua linalotua kwa umaridadi, humulika miti ya muwati (acacia) na kuwacha ishara ya ndoto, iliyofunikwa na vumbi jepesi rangi ya dhahabu ambalo kwa maoni ya binadamu, lilionekana kama sponji ya velveti.
READ AN EXCERPT ORDER NOW!

 

 

Encanto

In an amazingly beautiful planet called Esperanza, not very long ago, everyone lived together everything was all so bright, white and shiny. There were smiles all over and no-one knew what pain or sorrow meant. The skies were bright, it only rained at night and the moon was always full; and when it rained, there was a beautiful rainbow that shone all over the land and it looked like a constellation of stars mixed with beautiful colors; and when it hailed stones they would come down in pretty edible candy, with assorted ingredients, mixed with white, light, brown and dark chocolate.
READ AN EXCERPT ORDER NOW!

 

 

Encanto

Katika sayari iliyopendeza ajabu, inayoitwa Esperanza, sio mda mrefu sana uliopita, watu wote waliishi pamoja na kila kitu kilikuwa na mwangaza mzuri, mweupe na wakung’ara. Tabasamu zilienea kila mahali na hakuna aliyejua maumivu au huzuni ni kitu gani. Mbingu zilijaa nuru, mvua ilinyesha usiku pekee na kila mara mwezi ulikuwa mkubwa; na kuliponyesha, kulikuwa na upinde mvua wa kupendeza sana uliong’ara kwenye taifa lote na ilikuwa kama mchirizi wa nyota uliochanganywa na rangi za kupendeza; na kuliponyesha mvua ya mawe ilimwaika kwa peremende za kuvutia za ladha ajabu, za viungo vya kila aina, za mchanganyiko wa rangi nyeupe, manjano, chakuleti ya hudhurungi na ya rangi ya kahawa.
READ AN EXCERPT ORDER NOW!

 

 

Luv~eyn

In a small town in Africa called Waalan where all the neighbors’ visited each other and they celebrated holidays with good feasts big parties and palm wine drinking. There was a large family of 30 children and the father was a farmer. His name was Molniya, and he had 4 wives. He had so many children that he had to work very hard to feed them and make sure they all went to school.
READ AN EXCERPT ORDER NOW!

 

 

Luv~eyn

Katika mji mdogo wa Africa, unaoitwa Waalan, ambako majirani wote walitembeleana na walisherehekea sikukuu kwa sherehe kubwa nzuri na kunywa tembo ya mnanzi. Kulikuweko family yenye watoto 30 na baba yao alikuwa mkulima. Aliitwa Molniya, na alikuwa na wake 4. Alikuwa na watoto wengi sana hata ilimbidi atie bidi sana aweze kuwalisha na ahakikishe wote wanasoma shule.
READ AN EXCERPT ORDER NOW!

 

 

BUSINESS CENTS/SENSE

While business concepts remain the same globally, sustaining the business and making good profit margins while increasing ones target market, varies completely from different and not easy to understand aspects; like culture, literacy, tradition and the environment.

The book provides a comparative analysis from literary, social interaction and personal observation on how business has been transacted in different parts of the world while providing sound advice on best and workable practices.

This book is for the reader to make cents or sense of the world of Business.

May it inspire and educate ones looking to understand and manage their businesses with sustainable success and consistent increased profit margins.
READ AN EXCERPT ORDER NOW!